Explore John Magufuli, Salama and more!

Makala yangu RAIA MWEMA toleo la 14.12.16: Uhuru wa kukiuka haki za wengine ni uhuni   KATIKA toleo la Oktoba 20 2016 la gazeti hili niliandika makala iliyokemea madai ya uongo yaliyokuwa yakisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu elimu ya Rais Dk. John Magufuli. Kwa mujibu wa madai hayo shahada ya uzamifu ya kiongozi huyo ilikuwa feki na kama sio feki basi athibitishe hadharani.  Binafsi nilikerwa sana na madai hayo. Nilijaribu kuyakemea huko kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook kwa…

Pinterest
Search